Powered By Blogger

Sunday, August 5, 2012

KUJIAJIRI

Vijana wakijiajiri katika kukarabati baiskeli za wateja wao kutoka maeneo mbalimbali ya Biharamulo
Source: Rahim Bora

ANOTHER VIEW OF B'MULO BUS STAND

Upande mwingine ukiwa unaingia stend ya mabasi Biharamulo
Source: Rahim Bora

KIJIWE MAARUFU

Hiki ni kijiwe maarufu sana, ambapo ukipita hapa lazima ukutane na wadau na maalwatani maarufu ndani ya mji
Source: Biharamulo connection album

MWEMBE MKONGWE STENDI YA BIHARAMULO

Huu mwembe tangu nimefika Biharamuo nikiwa mdogo kabisa ulikuwepo, mpaka sasa hivi bado upo.. Tunaomba usikatwe iwe kumbukumbu.....
Source: Biharamulo connection album

Tuesday, July 31, 2012

KUMBIKUMBI

Hao ni kumbikumbi ambao msimu wake ukifika, enzi zile shule ya msingi hatuendi shule au tunacelewa balaa

KENGELE UMOJA S/M

Big up kwa wale ma timekeeper wa Umoja S/M kwa kugonga kitu hii kwa kufuata wakati
Source: Edwin Kiddifu

Moja ya majengo ya kale Biharamulo

Jengo la Boma lililotumika na wajerumani bado lipo na sasa limeng'arishwa, lapendeza kweli
Source: Biharamulo connection album